bishoke
JF-Expert Member
- Jan 12, 2010
- 274
- 52
Ni mgeni kidogo kwenye matumizi ya tablets na smart phones. Nimebahatika kupata moja na nimeona kuwa zipo apps za bure na za kulipia, mfano radio nk. Ninajua humu jamvini kuna wazoefu wa mambo haya naomba msaada kama nataka kulipia apps nizipendazo hasa za android mchakato uko vipi?
Nashukuru kwa mchango wa mawazo.
Nashukuru kwa mchango wa mawazo.