Kwanini mitandaoi yetu ya internet ina spidi ya kobe?

delusions

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
5,001
Reaction score
1,292
Hili ni janga kwa sasa nimenunua modem za kampuni zote za simu hapa tz, nilianza na moja nikaona inazingua speed nikahamia mtandao mwingine nako hali ni ile ile hadi nimemaliza leo nimenunua mtandao wa mwisho huko ndo khaa nusu saa page ina load cha ajabu matangazo ya kila kampuni yanasifia kuwa mitandao yao ina spidi acheni kudanganya watu ni aheri mkasema tu mnatoa huduma na si kuleta mbwembwe kuwa mitandao yenu ina spidi TCRA mko wapi watu tunadanganywaaaaaaaaa liveee unaambiwa modem ina download speed ya 7mbps,au 3.1mbps lakini siku nzima ukiangalia unaona ni 10kbps,20 au imeenda saanaaa ni 300kbps huu ni UWIZII
 
Umejaribu ya TTCL?
 
Unategemea TCRA itafanya nini ikiwa Makamba kayageuza makampuni ya simu vyanzo vya pesa ya mbio za urais 2015?
 
Wanawaza kukusanya kodi ya 1000 kila mwezi wakati huduma yenyewe mbovuuuu
 
Hizi siasa kama unapata coverage ya 2G eneo lakoa fu umeunga kibando kimepigwa Speed Capping,unategemea kupata speed nzuri kweli
 
Hili ni janga kwa sasa nimenunua modem za kampuni zote za simu hapa tz, nilianza na moja nikaona inazingua speed nikahamia mtandao mwingine nako hali ni ile ile hadi nimemaliza leo nimenunua mtandao wa mwisho huko ndo khaa nusu saa page ina load cha ajabu matangazo ya kila kampuni yanasifia kuwa mitandao yao ina spidi acheni kudanganya watu ni aheri mkasema tu mnatoa huduma na si kuleta mbwembwe kuwa mitandao yenu ina spidi TCRA mko wapi watu tunadanganywaaaaaaaaa liveee unaambiwa modem ina download speed ya 7mbps,au 3.1mbps lakini siku nzima ukiangalia unaona ni 10kbps,20 au imeenda saanaaa ni 300kbps huu ni UWIZII

acha kuota mchana mchana

562868_430387437082798_220498786_n.jpg
 
Internet bongo ni majanga/kimeo manake hata hiyo ya Zantel inayosifiwa kwa speed baaado sanaaaaaaaaaaaaaa
 
Unategemea TCRA itafanya nini ikiwa Makamba kayageuza makampuni ya simu vyanzo vya pesa ya mbio za urais 2015?
acheni siasa, jukwaa hili tunajadili kisayansi na kwa fact, makamba anashushaje spidi ya intanet? mbona hatushushii sisi? nyie tu?
 
C6 yaani nakuonea wivu maeneo gani hapo maana jana nimeweka unlimited ya tigo maximun speed niloyopata ni 125kb/s na haikulast ikashuka nilikuwa nadownlaod kwa torrent file la 3gigs au kuna kaaccelerator unatumia 2fahamishe mi nipo tbt
 
Last edited by a moderator:
mkuu mleta uzi mm naona kama umekosea kuleta uzi wako vile na shutuma unazotoa mm naona kama sio za kweli .ushauri wangu ungeomba wataalam hapa juu ya tatizo lako la low speed na siyo kama ulivyo kuja mbona mpaka kuna elim hum za kudadavua enter net mpaka free au kuna ile nyingine ya kulipia kwa mwezi 8000 hembu kuja kivingine usaidiwe mkuu huku watu huwa hawalalamikagi sana unatoa tatizo lako then wataalam wenye uelewa wanakushushia mambo
 
Internet ya 3G IPO mijini tu.ukitoka nje ya mji kilomita kama 5 tu ni majanga kama kawaida 2G.hata hyo 2g haiko stable
 
Mleta mada hilo tatizo linahusiana na computer yako tu na si mitandao, maana kama umejaribu yote na bado speed ile ile hiyo kazi ni kwako.
 
Back
Top Bottom