Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau naombe ni kujua, simu yangu ninapofungua jf ili kuona picha kinachokuja ni hiki hapa kwenye picha, nime uninstall na ku install lakini wapi, tazizo liko pale pale, je nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
491 Views
Wakuu habari zenu, natumainia kuwa mko vizuri na wenye afya dhoofu Mwenyezimungu awafanyie wepesi pia. Moja kwa moja, Pc yangu ina shida ya internet yani haiwezi ku-connect wireless internet...
1 Reactions
9 Replies
834 Views
Is the WhatsApp verification code or security code not sending? Did you request an SMS code from WhatsApp but you’re not receiving it? If you’re facing this issue, you won’t be able to access...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Rejea kichwa cha uzi huu,naomba msaada wenu,sijajua kama itakuwa ni kubadilisha keyboard yote au la, laptop ni Dell inspiron natanguliza shukurani.
2 Reactions
7 Replies
801 Views
Wakuu habari zenu. Ninajambo naomba msaada. Ninataka kusajili whatsapp namba ya 3 kwenye simu yangu. 2 nishaweka yani whatsapp na WA Business. Hii ya tatu imekuwa kipengele wiki jana yote...
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Hivi unajua Unaweza kutumia wifi kupiga simu , kupokea au kutuma ujumbe wa Sms kupitia simu yako ikiwa mtandao unasumbua na haupatikani kabisa. Matoleo mengi ya simu kuanzia mwaka 2015 yana hii...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakubwa vipi mambo nimedownload hii game kupitia torrent na nimeiinstall kabisa tatizo ni moja haifunguki kila nikijaribu kuiopen kale kamshale kanazunguka tu alafu kanaacha hakitokei kitu...
0 Reactions
3 Replies
472 Views
Mtandao wa Whatsapp ambao ukitoa feature Nyingi mpya inaonekana inachukua toa telegram [emoji16], hatimaye Whatsapp wako kwenye mchakato wa kuleta feature mpya kwenye status. Meta inataka kufanya...
0 Reactions
4 Replies
641 Views
Jamni wanafamilia wa jamii forum ninaitaji games za PlayStation3 naomba msaada wenu ni bei gani maana naitaji magemu kama Mpila na god of war
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wana jamvi naomba kufahamu kwa mtu mwnye uwelewa na mambo ya ufundi/umeme hiv hiki kifaa ni inverter au la? Automatic voltage regulator
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Wale wote tunaofanya backend kwa python hii ni baada ya mda saaaana kupita ni rasmi django 5 ipo live kwa ajili yetu Django5.0 nilikua naisubiri kwa mda mrefu ili kufanya baadhi ya project zangu...
1 Reactions
4 Replies
687 Views
wana forums, naomba msaada wa kujuzwa app ambayo naweza kushusha video yaani ku (downloard) video youtube, asanteni.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu habarini poleni na majukumu, jana nilipita sehemu nikakuta wanauza visimbuzi vya azam vile vya 49000 nikachukua. Sasa shida inakuja kwenye kuwasha yani nimeseti antenna vizuri tena ipo juu...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mwanamume mmoja raia wa Uingereza na Nigeria amekiri katika mahakama ya Marekani kudanganya na kuiba zaidi ya $6m (£4.7m) katika kipindi cha miaka saba. Idris Dayo Mustapha, 33, alikuwa sehemu ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tajiri ELon musk amesema anaweza kutoa zaidi ya dollar za kimarekani bilioni moja ikiwa kampuni ya Wikipedia itajibadilisha jina lake. CEO wa Tesla amewapa ofa Wikipedia kwa kuwataka wabadili...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajf, nilinunua kig'amuzi cha startimes miezi mitano iliyopita ila tatizo ni kwamba nliangalia channels za ofa kwa wiki tu, then zikabaki za local yaan itv,eatv,tbc1 kwa muda mwa miezi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Umeshawahi kuona simu yako unapoweka sikioni wakati umepigiwa au unasikiliza voice note inajizima ? Je shida inakuwaga Nini unakuta mtu kakupigia simu unaweka sikioni kioo kinazima. Lazima ujue...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndiyo nahitaji kioo cha Samsung S10+ Super Amored chenye frame yake kabisa. Atakama ni used fresh ilimradi kiwe kimenyooka tu. Ofa yangu ni Tsh 200,000/= Location ni Dar es Salaam - Ilala...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Kampuni ya Meta sasa wamerudi kwa Kasi kwenye mchakato wao wa kuweza kuzifungia namba mbalimbali ambazo zinatumia program ya Whatsapp Gb. Kuna kipindi Meta walitoa taarifa ya watu kuweza kuacha...
14 Reactions
120 Replies
9K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la kukopesha simu... Unalipa kidogo kidogo kama mtambo wa sola. Hajapatikana mtu wa kubadili either IMEI au chochote ili simu iwe free? Sent from my 2201117TG using...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…