King'amuzi cha azam tv antenna kinanisumbua

King'amuzi cha azam tv antenna kinanisumbua

Ctrlp

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2020
Posts
337
Reaction score
283
Wakuu habarini poleni na majukumu, jana nilipita sehemu nikakuta wanauza visimbuzi vya azam vile vya 49000 nikachukua.

Sasa shida inakuja kwenye kuwasha yani nimeseti antenna vizuri tena ipo juu sana ila hamna kitu.

Kila nikifanya installation inaandika No TV program yani hadi sasa sielewi nimewapigia huduma kww wateja wanasema labda sijaunganisha vizuri ila kwa upande wao kila kitu kipo sawa, lakini tabu ipo palepale.

Hebu wajuzi mnielezee inakuwaje hapa
 
Mkuu hapo shida ni 2 ushaua tunnel power au Kuna namna umenyonga hizo waya Kwa pamoja kwahiyo tunnel inashindwa kufua moto kupeleka nje kwenye hiyo antenna yako
 
Back
Top Bottom