Game la ETS 2 halitaki kufunguka

Nyamwage

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
634
1,535
Wakubwa vipi mambo nimedownload hii game kupitia torrent na nimeiinstall kabisa tatizo ni moja haifunguki kila nikijaribu kuiopen kale kamshale kanazunguka tu alafu kanaacha hakitokei kitu chochote msaada wenu tafadhali
 
fungua hilo game then likishafanya kama unavyosema nenda kweny disc C>document>eurotruck simulator 2>profile> then click hap alafu exit then utaona game limefunguka
 
IMG_20231204_234632_086.jpg

Profile ipi hapo
 
Back
Top Bottom