UITAJI WA PS3 GAMES

UITAJI WA PS3 GAMES

Rdj Shibo

Member
Joined
Jan 5, 2018
Posts
81
Reaction score
53
Jamni wanafamilia wa jamii forum ninaitaji games za PlayStation3 naomba msaada wenu ni bei gani maana naitaji magemu kama
Mpila na god of war
 
Kama utapata mtu anaekwenda Nairobi huko ndio kuna wakali wa hayo mambo na bei ni nzuri
 
Jamni wanafamilia wa jamii forum ninaitaji games za PlayStation3 naomba msaada wenu ni bei gani maana naitaji magemu kama
Mpila na god of war

nachip na kuweka games kwa bei rahis kabis bro nichek wasap kwa namba hii 0715058481
 
Ninauza PS3 fat, yenye 200gb HDD na padi mbili, jailbroken firmware, you can use external hard drive kwa kucheza games. Bei ni 300,000/= Wasiliana nami kwa 0789444498.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom