Wanaokooesha simu hakuna namna ya kuwazibua?

Ok9

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
4,525
4,090
Kumekuwa na wimbi kubwa la kukopesha simu... Unalipa kidogo kidogo kama mtambo wa sola.
Hajapatikana mtu wa kubadili either IMEI au chochote ili simu iwe free?

Sent from my 2201117TG using JamiiForums mobile app
 
Cha juu ni kikubwa afu simu wanatoa za quality ya chini.
Kama umelitambua hilo basi usikope; na kama ulishakopa huna budi kulipa maana ndiyo dawa ya deni.
Kama una malalamiko kuhusu ubora peleka madai yako kwenye vyombo husika kama TCRA au FCC n.k; hiyo itakuwa bora kuliko kufikiria kubadili IMEI ili upotee.
Wakati mwingine kabla hujanunua, zingatia usemi huu kuwa "Let the buyer be aware" (mnunuzi na awe makini).
 
Sahihi kabisa mkuu.
Nimekuelewa japo sio mhusika.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Kama umelitambua hilo basi usikope; na kama ulishakopa huna budi kulipa maana ndiyo dawa ya deni.
Kama una malalamiko kuhusu ubora peleka madai yako kwenye vyombo husika kama TCRA au FCC n.k; hiyo itakuwa bora kuliko kufikiria kubadili IMEI ili upotee.
Wakati mwingine kabla hujanunua, zingatia usemi huu kuwa "Let the buyer be aware" (mnunuzi na awe makini).
Watz wengi hulalamikia moyoni na sio kwwnye vyombo husika.

Back
Top Bottom