Wasalaam Wakuu,
Naomba kujua ni vipi unaweza kutumia handset yako kuchangia humu JF? Kwa mfano mimi natumia TECNO H7 smartphone lakini nashindwa kutumia effectively JF zaid ya kusoma tu, sasa...
Habari!
Ushamba siyo dhambi, ushamba siyo ulemavu wala ushamba siyo ugonjwa.
Ushamba ni jambo la aibu ndiyo maana watu wengi hawapendi kuonekana washamba.
Kinyume na wengi wasiopenda kuonesha...
Habari wakuu?
Naomba mnipe tofauti ya hivyo nilivyo taja hapo juu. Nini matumizi yake? Faida na hasara zake?
Na ni ipi bora kuwa nayo nyumbani?
AHSATENI
I love tech. Phones are part of it.
Leo nilikutana na fundi simu mmoja wa miaka mingi sana. Nakumbuka mwaka 2009, kabla Simu za laini mbili hazijakuwepo, huyu fundi alikuwa anakata laini na...
Habari za muda huu?
Naomba kupata muongozo kwenye uchaguzi wa camera hizi mbili
Canon 5D Mark II na Canon 750D
Ipi nzuri, kwa matumizi ya picha na video shooting,
Natanguliza shukrani.
Kwenye pitapita zangu huko kwenye YouTube nimekutana na channel yenye subscribers 151 tu. Ila ukiplay video inaleta kwanza matangazo. So, hii ndo kusema hii channel ya watu 151 Iko monetized...
Habari za humu jamani naombeni msaada simu yangu infinix hd model x612.
Camera imenizingua nikipiga picha picha inageuka juu chini na ya nyuma ndio imegoma ata kufunguka kabisa msaada wenu waku...
Ukuaji wa technology pamoja na fild zake kama AI, robots, autonomous na IoT
Umeongeza fursa hasa upande wa M2M.
Kama unampango wa kua billionea miaka ijayo anza sasa, fanya research na kuona...
wakuu wataalam wa tech, je nawezaje kusoma text au jumbe zilizotumwa kwene account yangu ya Facebook kupitia Email?
Zamani sana nilikuwa naweza kusoma ujumbe kupitia email notification bila...
Habari wadau naomba msaada nina badget ya 700k nataka simu nzuri ya samsung .mwanzo nilikuwa natumia samsung note 8 lkn hii inasumbua haikai na charge sana. Ni ipi simu nzuri katika hizo. Hasa...
Wakuu habari ya nyie, mi naomba leo niwape promo hawa watu wa SpeedAf kwa kweli wananifurahisha sana.
Tar 5/09/2023 nilipress order yangu, shopping method ilikua ni cainniao global shipping, kama...
Jarida maarufu nchini Marekani la Bloomberg, limeripoti kuwa mauzo ya simu za Huawei hasa toleo la Mate 60 yamepanda kwa asilimia 27 mwaka huu wa 2023
Likinukukiwa jarida hilo liliandika...
Simu ya Google pixel 8 series imekuja ikiwa na uwezo wa kutoa picha Kali zenye mvuto ndani yake yaani unaweza sema uko mwezini.
Achana na kamera ya 50mp iliyopo ndani, kuna Teknolojia ya Akili...
Wandugu,
Natengeneza an auction application kwa kutumia mySQL na perl, hizi ni project requirements.
Nahitaji algorithm/code/commands za ku integrate a perl login kutoka mySQL database...
Zote tatu ndani ya cd moja zikiwa zimeboreshwa graphics mpyaa kwa ulimwengu wa sasa.
system requirements
OS: Windows 10 (probably 64 Bit)
RAM: 8 GB.
Processor/CPU: Intel Core i5-2700K / AMD...
Ndugu zangu wa JF, natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na maandalizi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya, 2024.
Nimeamua kuja hapa JF kwa lengo la kukaribisha Guest Posts kutoka kwenu wadau na Wataalamu...
Habari wakurungwa,
Nina shida na vitabu mbalimbli vya kiacademic mwenye kufahamu wapi (mtandaoni, aidha telegram au website au mahali pengine popote) ambapo naweza ku access free pdf books hasa...