Kuwasha iPhone 4

jangos

Member
Dec 20, 2023
26
29
Habari wadau,
Nasimu ya iPhone 4 lakini nkiwasha inagoma sijui shida itakua nini inakua kama hivi kwenye picha kisha inazima
IMG20231223092228.jpg
 
Habari wadau,
Nasimu ya iPhone 4 lakini nkiwasha inagoma sijui shida itakua nini inakua kama hivi kwenye picha kisha inazima
View attachment 2850399
Unatakiwa uunganishe kwenye itune. Yaani unganisha kwenye computer yenye iTune ili ufanye-set up. Ukiungamisha itakuuliza uweke ID yako ya Apple. BTW ni kama imepitwa na wakati na app nyingi huwezi kuzi-update. Labda kama utapanga kuitumia kwenye kupiga na kupokea simu zaidi kwani hata whatsup huwezi kuitumia.
 
Kwani nimemfuata nyumbani kwake? Kaomba ushauri cha kufanya nimemwambia cha kufanya.

Pole kama na wewe unatumia kati ya simu hizo, haikuwa kwa ubaya.
Chakufanya nini zaidi ya kumsimanga tu mleta uzi, ukiona kitu huna utaalam nacho ishia kusoma na kupita sio lazima kila kitu uchangie
Pole nikupe wewe nimekwambia sio kwa baya
 
Chakufanya nini zaidi ya kumsimanga tu mleta uzi, ukiona kitu huna utaalam nacho ishia kusoma na kupita sio lazima kila kitu uchangie
Pole nikupe wewe nimekwambia sio kwa baya
Utaalam wa nini kwenye iPhone 4 jamani?
Hao wataalam wenyewe Apple walioitengeneza wameshaitoa kwenye mifumo yao, utaalam gani unaouzungumzia wewe?

Huu ni unafiki ambao sina, nyeusi naita nyeusi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom