Jamani wajuvi wa jukwaa hili nina simu aina ya Redmi note 10 pro, tatizo lake inawahi kuisha chaji haraka na kwenye screen inaonyesha kama cheche kwa mbali alafu inapata joto.
Mwenye kuelewa hili...
Laptop yangu inahili tatizo nimeangalia movie au kucheza game kama Inaleta Hayo maandishi then I inajiresistart
Wenzangu mlisolve vp Hapa
Nime attach Picha chini hapo
Wataalam kama mtu ana zuku fiber unlimited ndani na anataka tazama Mpira EPL au TV zozote za nje ...inatakiwa afanyaje?
Kuna mtu kaniambia lazima nitafute android TV box kwanza?ni kweli?
Njia...
Habari wadau kwema wote naona woote hamujambo humu π wenye changamoto yoyote na mahangaiko ya dunia poleni sana,
Nije kwenye mada yangu inahusu hivi, nina account ya Twitter sijaingia siku, mpaka...
===
Betavolt, kampuni mpya ya Kichina, inadai kuwa imeendeleza betri ya nyuklia inayoweza kuwasha simu za mkononi kwa miaka 50 bila kuchaji upya. Betri hiyo inatumia nishati ya atomiki...
Nikitaka kuingi/ku sign in Gmail ya shule bussiness inaniingiza kenye g mail yangu. Inakataa kunietea g mail ya shule. Nifayeje? hata ki sign out, ni sign in inanpeleka moja kwa moja kwenye g...
Je, umewahi kupata mshtuko baada ya virusi kushambulia kompyuta yako? π¨ Hali kama:
πΌοΈ Kupoteza picha zenye kumbukumbu zisizochukua nafasi.
π Kufuta kazi na nyaraka muhimu zisizorudishika.
π»...
Huawei anazidi kuishangaza dunia na kuonyesha kuwa sanctions hazifanyi kazi.
Baada ya kuwashangaza na simu zenye socs alizounda mwenyewe na ambazo demand ni kubwa kuliko hata uzalishaji wake kitu...
Watu wengi wanatumia mtandao wa Internet ku-explorer website mbalimbali, lakini kumbe website tunazo zitembelea ni asilimia chache sana ya website zilizo jificha zinazoitwa 'deep web'.
Hata...
Huyu jamaa Marques Brownlee ni kama Chief Mkwawa humu. Anaijua tech na kikubwa ni anajua kuifafanua. Video yake latest alikuwa anatoa result za upimaji wa ubora wa Camera kutokana na kura za...
Wakuu habari,
Nataka kuunda video ambayo nitakuwa nikitoa maelekezo kupitia mic huku nikirekodi screen kwenye pc ya kile nikachokifanya.
Ni software gani inayoweza kunisaidia kufanya hilo ambayo...
Nimepotelewa na funguo ya gari na haikuwa na copy, vipi kuna uwezekano wowote wa kutengeneza funguo bila copy ya kuangalizia?
Kama kuna mtu anao utaalamu tusaidiane au tupeane contacts kwa...
Habari za wakati huu wadau wa Jamiiforums, Ama baada ya salamu ni kwamba nina desktop aina ya Dell, nimekuwa niikitumia kwa matumizi ya kawaida tu mfano scanning, printing n.k lakini baadae...
Habarini za muda huu wakuu,
Msaada namna ya kurudisha tena msg iliyofutika bahati mbaya anaefahamu njia ya haraka pls nijulishe yani ni msg muhimu sana kwaajili ya malipo.
Nimekuwa nikiagiza mizigo AliExpress kwa muda Sasa ,, nataka tumia alibaba kwa baadhi ya mizigo
Nimechat na seller kanitumia link na nili inquiry logistics company akanipa cheapest Ni Dola 30USD...
Mauzo ya simu za Apple nchini China yameshuka na dalili zinaonesha yataendelea kushuka mwaka huu wa 2024, kwa mujibu wa utafiti wa Jefferies.
Mauzo ya iPhone 15 series hayakuwa mazuri tangu...