Desktop recording software

def_xcode

JF-Expert Member
Jul 25, 2023
596
1,621
Wakuu habari,

Nataka kuunda video ambayo nitakuwa nikitoa maelekezo kupitia mic huku nikirekodi screen kwenye pc ya kile nikachokifanya.

Ni software gani inayoweza kunisaidia kufanya hilo ambayo haina watermark na output yake ikawa ni mp4.
Chief-Mkwawa
 
Unafanya live? Ama una record na kuingiza sauti baadae
 
Itop screen record iko vizuri

Ina record high Quality kwa low mb
 
Ipo moja ya windows .. mimi ndio hwa naitumia kutengeneza demostrations..iko gud tu
Screenshot_20240111_205116_Samsung Internet.jpg
 
Wana three-day free trial. Tatizo nyingi za free zina watermark, pia video & audio quality zinakuwa mbovu.

Kama hataki kulipia crack zipo.
Yeah Three days free Premium Features but with watermark..
Kama una crack au zinapatikana wapi nisaidie mkuu zamani nilikuwa nachukua Crack za Paid kwenye Piratesbay siku hizi imekuwa jau kweli kuipata pyrate bay
 
OBS open source na free, Davinci Resolve kufanya editing.

Camtasia uzuri wake ina simple video editing ndani yake ila ni gharama kama unapenda vitu halali.
 
Back
Top Bottom