Tatizo la Simu Redmi Note 10 Pro Kupata Joto, Battery kuisha chaji haraka

posian el

Member
Jun 26, 2020
34
32
Jamani wajuvi wa jukwaa hili nina simu aina ya Redmi note 10 pro, tatizo lake inawahi kuisha chaji haraka na kwenye screen inaonyesha kama cheche kwa mbali alafu inapata joto.

Mwenye kuelewa hili tatizo naomba anisaidie jinsi ya kulitatua.
 
Niko na redmi hapa, toka nmenunua mpaka leo kwenye charge sijawahi hata kuhisi ubora umepungua,

Katika simu kwa upande wa redmi mzee chukua note 10 pro
 
Niko na redmi hapa, toka nmenunua mpaka leo kwenye charge sijawahi hata kuhisi ubora umepungua,

Katika simu kwa upande wa redmi mzee chukua note 10 pro
Natumia Redmi note 10 pro View attachment 2860848
Screenshot_2024-01-03-14-10-28-021_com.android.settings-edit.jpg
 
Jamani wajuvi wa jukwaa hili nina simu aina ya Redmi note 10 pro,Tatizo lake inawahi kuisha chaji haraka Na. Kwenye screen inaonyesha kama cheche kwa mbali alafu inapata joto......Mwenye kuelewa hili tatizo naomba anisaidie jinsi ya kulitatua
Umeinunua iko hivyo au hivi karibuni uli update software?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom