Your PC run into problem need to restart Mlitatuaje hii shida

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Jul 10, 2022
914
1,128
Laptop yangu inahili tatizo nimeangalia movie au kucheza game kama Inaleta Hayo maandishi then I inajiresistart

Wenzangu mlisolve vp Hapa

Nime attach Picha chini hapo
PXL_20240114_131158132.MP.jpg
 
downgrade hiyo windows kama ni 10 piga windows 7...windows uliyo weka ni kubwa kuliko uwezo wa hiyo pc...!​
 
Update hiyo windows ila likiendelea inabidi utafute mashine mpya kwa sababu huenda itakuwa imezidiwa
awezi kuupdate ikapona unless otherwise awe hiyo windows ameinunua... update ni kwaajili ya windows genuines tu. pirate msisubutu ku update.

watu awawezi kuwekeza kwenye project zao harafu tudawnload windows za bure kisha ukimbilie kuchukua update zao ambazo wanaziweka kwaajili ya walio nunua program.​
 
Daah, samahani mleta mada kwa kukuingilia kwenye uzi wako.
Msaada jamani na mimi PC yangu kuna time nikiiwasha inazimazima screen kama inachezacheza hivi(inazima na kuwaka kwa speed). Nikiipumzisha kama siku mbili au tatu inaendelea poa tu.
 
fungua ndani kuna ki betrii utakikuta kibadilishe...toa hicho kibetrii weka kipya
 
awezi kuupdate ikapona unless otherwise awe hiyo windows ameinunua... update ni kwaajili ya windows genuines tu. pirate msisubutu ku update.

watu awawezi kuwekeza kwenye project zao harafu tudawnload windows za bure kisha ukimbilie kuchukua update zao ambazo wanaziweka kwaajili ya walio nunua program.​
Asee ila mwanzo haikuwa na hii shida
 
awezi kuupdate ikapona unless otherwise awe hiyo windows ameinunua... update ni kwaajili ya windows genuines tu. pirate msisubutu ku update.

watu awawezi kuwekeza kwenye project zao harafu tudawnload windows za bure kisha ukimbilie kuchukua update zao ambazo wanaziweka kwaajili ya walio nunua program.​
Shukran
 
Piga windows nyingine au check performance ya HDD yako mkuu
Health ya HDD yako neither ikawa chini sana....
 
PC ikisha anza hilo tatizo hapo kuna mawili hapo yafatilie kwa ukaribu..

1. Jaribu kuirepair windows either kwa kutumia backups au tengeneza bootable pendive kabisa then ufanye kuirepair, ikifeli hii solution the last one fanya kushusha windows na weka mpya achana na pirated download official ISO file kabisa ndiyo uweke..

2. Ki hardware RAM zimeanza ku misbehave jaribu kuzikagua kama bado nzima, sambamba na hilo check HDD (Hapa tatizo linaweza kua zaidi ya 70% nme experience sana hilo tatizo hapa) na kama ukiiwasha inakua nzito kuwaka na kutumia muda mrefu basi badili tu HDD itapona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom