deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 520
Habari waungwana,hivi dekoda ya azam tsh ngapi pekee? Dish ninalo la zuku,tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsanteee brotherHapo itakubidi ununue na LNB ya Azam
Wapigie Azam wakupe bei zao
+255 784 108 000
Hakuna haja ya kununua LNB ya Azam, Madishi yote yanaingiliana mhimu ni kubadili uelekeo wa dishi tu.Hapo itakubidi ununue na LNB ya Azam
Wapigie Azam wakupe bei zao
+255 784 108 000
Wewe nunua tu dekoda dishi linatumika lolote lile bila kujali la Azam ama la Star times utabadili uelekeo wa dishi tu.!
Habari waungwana,hivi dekoda ya azam tsh ngapi pekee? Dish ninalo la zuku,tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lkn kwa dish dogo la Startime au zuku signal inakua pungufu na ndo ujinga wa azamWewe nunua tu dekoda dishi linatumika lolote lile bila kujali la Azam ama la Star times utabadili uelekeo wa dishi tu.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna haja ya kununua LNB ya Azam, Madishi yote yanaingiliana mhimu ni kubadili uelekeo wa dishi tu.
Kwa dekoda ya Azam unaweza kutumia Dishi la Dstv, Star times ama lingine lolote lile...
Sent using Jamii Forums mobile app
120,000/=Habari waungwana,hivi dekoda ya azam tsh ngapi pekee? Dish ninalo la zuku,tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lkn kwa dish dogo la Startime au zuku signal inakua pungufu na ndo ujinga wa azam
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu wanasema 120000 wao ukiwapigia wanasema 105000 sijui ukweli ukoje?
Wewe nunua tu dekoda dishi linatumika lolote lile bila kujali la Azam ama la Star times utabadili uelekeo wa dishi tu.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina Dstv na Azam, ila kwenye azam natumia dishi la Star times hakuna tofauti hata kidogo labda kwa Dstv Chanel za HD.Sawa lkn kwa dish dogo la Startime au zuku signal inakua pungufu na ndo ujinga wa azam
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio japo Azam wamezidi kiasi... Mhimu dishi lifungwe vyema lisiyumbeyumbe!
Ukitaka humu unaipata kwa 120,000 ukitaka ya 105,000 nenda Azam ofisini kwaoHumu wanasema 120000 wao ukiwapigia wanasema 105000 sijui ukweli ukoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh...ahsante mkuu.Ukitaka humu unaipata kwa 120,000 ukitaka ya 105,000 nenda Azam ofisini kwao
AhsanteeNdio japo Azam wamezidi kiasi... Mhimu dishi lifungwe vyema lisiyumbeyumbe!
Sent using Jamii Forums mobile app