Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Heshima kwenu wakuu. Naomba mnijulishe kuhusu Call Recorder nzuri kwa Simu za Android inayoweza ku-rocord simu zote zinazopigwa na kupigiwa ili niweze ku-install kwenye simu yangu na niwe na...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Rejea kichwa Cha Habari Hapo Juu. Nataka kuuliza baadhi ya maswali kuhusu vifaa vya minara thanks
1 Reactions
4 Replies
658 Views
Habari, A FULL CHARGE WILL LAST ABOUT ni masaa ya simu kukaa na chaji kutoka ikiwa full mpaka inapoisha. Piga screenshot kwenye A FULL CHARGE WILL LAST ABOUT halafu weka hapa tuangalie. Taja na...
0 Reactions
2 Replies
562 Views
1. Nini kinachangia au kusababisha katika system meseji kugoma kwenda? Mfano unatuma sms inafeli, unarudia tena inafeli, unarudia tena inafeli unarudia tena inaenda? 2. Nini kinasababisha ujumbe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeamini neema ipo Dar. Mchawi hela. Kama hawa liquid wamekuja hivi me nahamia Dar
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Naombeni msaada kujua Ipi ni nzuri. katika Fuel consumption na bei inakuaje kuagiza. used from Japan. Na mengineyo wadau. Jamani nahitaji mawazo yenu chochote wakijua usisite kuniambia
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ninasomea fitter mechanical engineering Niko level two kama Una ofisi yaani workshop naomba nije nifanyie field kwako kama auto jali Kwa hapa Dodoma mjini tuu
2 Reactions
2 Replies
484 Views
Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi. Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Niko hapa kwa issue zako zote za PayPal. Nione
1 Reactions
9 Replies
695 Views
Habari ndugu, Naomba msaada nina wiki mbili laini yangu ya ttcl haisomi data pamoja ya kuweka data roaming lakini bado ila kwa wengine inasoma tatizo ni nini! nikiwapigia huduma kwa wateja...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni kampuni gani ya redio za music mnene inavunja records? Kwangu mimi ni JBL๐Ÿ˜Š๐Ÿ‘
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Naombeni Msaada wa namna ya kuifanya simu inayotumia laini moja tuu ya Voda iweze kukubali kupokea laini za mitandao mingine kama Tigo, Airtel na mingine..
3 Reactions
228 Replies
35K Views
Wakubwa naomba kwa mwenye uzoefu na hii simu anipe ABC nimeikuta sehemu nimependa tu ukubwa wa betri ila mambo mengine sijajua naomba kwa ambaye ameshatumia au anatumia anipe ubota/udhaifu wake
0 Reactions
7 Replies
729 Views
Habari wadau, Naomba kufahamu simu gani yenye ubora kwa bajeti ya 500k kutoka kampuni ya sony, samsung na redmi shukran. Chief-Mkwawa
3 Reactions
5 Replies
1K Views
The HP ProLiant DL380p Gen8 is a versatile 2U rackmount server designed for a wide range of workloads, from general-purpose applications like file/print or web serving to demanding tasks like...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Wadau naomba mwenye ufahamu juu ya setting ya sauti kwenye king'amuzi cha Azam kupotea sauti channel 1 tu anaeweza namna ya kurejesha anasaidie maana jamaa customers service yao ni mbovu sijapata...
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Hello, kama unaujuzi wowote wa Maswala ya mtandaoni, au una audience kubwa mtandaoni, mnaonaje tuwe kama watu kumi tufanye jambo. Coz kwenye swala la online earning watu Hua wanaujuzi mbalimbali...
1 Reactions
5 Replies
450 Views
Exciting times at SAFCO Academy! Our students are diving into the world of coding and digital learning, paving the way for a brighter future in technology. With innovative programs and dedicated...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ