PayPal Account Help

PayPal Account Help

SirAlfred006

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
551
Reaction score
1,304
Niko hapa kwa issue zako zote za PayPal.
Nione
20240222_203651.jpg
 
Mkuu
Hii huduma imwruhusiwa na wahafidhina BOT? Maana wao kutwa kuforecast upungufu wa dola huku wakiembarass mifumo maridhawa ya online transactions

Weka mawasiliano tukufikie
 
Mkuu
Hii huduma imwruhusiwa na wahafidhina BOT? Maana wao kutwa kuforecast upungufu wa dola huku wakiembarass mifumo maridhawa ya online transactions

Weka mawasiliano tukufikie
BOT hawaitaki hio
 
Hii huduma unaweza kufungua account ila shida baadhi ya nchi wanakosa uwezo wa kuchomoa hela kwenye account. Ikiwemo Tanzania.
 
Back
Top Bottom