Nahitaji Kikundi Cha watu 10 Tufanye Jambo.

Jan 17, 2024
47
71
Hello, kama unaujuzi wowote wa Maswala ya mtandaoni, au una audience kubwa mtandaoni, mnaonaje tuwe kama watu kumi tufanye jambo. Coz kwenye swala la online earning watu Hua wanaujuzi mbalimbali tofauti tofauti, kingine unaweza pata hiki alafu ukakosa hiki ambacho mwingine anacho na kikubwa zaidi vitu vingi tunaviona ni vigumu coz service nyingi tunajikakamua kulipia wenyewe. Take a look tukiwa kama 10 hivi atafunding kwenye maswala ya marketing na kulipia service inakua chap chap. Kama inarelate kwako na unahitaji info zaidi au kuhusu security just drop a word "RELATE" na nitaku inbox
 
RELATE
 
Kichwa cha somo kimenivuta fasta kuingia humu. LAKINI sioni hasa nini kinachotakiwa kufanyika. Ujuzi wa mtandaoni wa kufanya nini?
 
Ujuzi wowote ule wa online earning, ingawa Picha niliyokuwa nayo mimi niyakuanzisha Platform, kiupande wako unaujuzi upi ?
 
Back
Top Bottom