Naomba kufahamu simu gani yenye ubora kwa bajeti ya 500k

Habari wadau. Naomba kufahamu simu gani yenye ubora kwa bajeti ya 500k kutoka kampuni ya sony, samsung na redmi shukran.
Chief-Mkwawa
Sony kwa hio budget unapata used/mtumba around laki 3 mpaka 4 xperia Mark II Flagship kama Xperia 5 II na 1 II.

Kwa Samsung mpya ni A25 kama mdau hapo juu alivyo suggest,

Za Mtumba Samsung unapata S20 FE kwa hio budget.

Kwa redmi za kununua hapa hapa Tz unapata Redmi note 12 around 450K Tigoshop.

Kama budget unaweza kuistretch kidogo Na unajua kununua vitu online Redmi note 12 turbo Aliexpress ni Around laki 6, simu nzuri zaidi.
 
Chief, niambie kuhusu hizi simu za Google pixel zina ubora kiasi gani
 
Sony kwa hio budget unapata used/mtumba around laki 3 mpaka 4 xperia Mark II Flagship kama Xperia 5 II na 1 II.

Kwa Samsung mpya ni A25 kama mdau hapo juu alivyo suggest,

Za Mtumba Samsung unapata S20 FE kwa hio budget.

Kwa redmi za kununua hapa hapa Tz unapata Redmi note 12 around 450K Tigoshop.

Kama budget unaweza kuistretch kidogo Na unajua kununua vitu online Redmi note 12 turbo Aliexpress ni Around laki 6, simu nzuri zaidi.
Asante sana, Ngoja niiangalie iyo samsung
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom