The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,207
- 2,432
Habari za muda huu wana jamii tech,, Ninaomba kufahamu app nzuri ya kuedit picha kwa simu maana kuna jamaa huko fb anadai anaedit kwa simu kama picha hapo chini ila anaringa kutaja jina la App, msaada tafadhali.