Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naombeni Msaada wa namna ya kuifanya simu inayotumia laini moja tuu ya Voda iweze kukubali kupokea laini za mitandao mingine kama Tigo, Airtel na mingine..
3 Reactions
228 Replies
35K Views
Wakubwa naomba kwa mwenye uzoefu na hii simu anipe ABC nimeikuta sehemu nimependa tu ukubwa wa betri ila mambo mengine sijajua naomba kwa ambaye ameshatumia au anatumia anipe ubota/udhaifu wake
0 Reactions
7 Replies
728 Views
Habari wadau, Naomba kufahamu simu gani yenye ubora kwa bajeti ya 500k kutoka kampuni ya sony, samsung na redmi shukran. Chief-Mkwawa
3 Reactions
5 Replies
1K Views
The HP ProLiant DL380p Gen8 is a versatile 2U rackmount server designed for a wide range of workloads, from general-purpose applications like file/print or web serving to demanding tasks like...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Wadau naomba mwenye ufahamu juu ya setting ya sauti kwenye king'amuzi cha Azam kupotea sauti channel 1 tu anaeweza namna ya kurejesha anasaidie maana jamaa customers service yao ni mbovu sijapata...
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Hello, kama unaujuzi wowote wa Maswala ya mtandaoni, au una audience kubwa mtandaoni, mnaonaje tuwe kama watu kumi tufanye jambo. Coz kwenye swala la online earning watu Hua wanaujuzi mbalimbali...
1 Reactions
5 Replies
450 Views
Exciting times at SAFCO Academy! Our students are diving into the world of coding and digital learning, paving the way for a brighter future in technology. With innovative programs and dedicated...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
To Tanzanian Banks, financial institutions and firms, public and private institutions, and all government authorities: "There are four big threats to the world and to the human race. One of them...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kutokana na umeme kutokuwa wa uhakika ni vyema kuangalia plan B. Ni wapi wanauza power bank za uhakika zisizo feki zenye guarantee? Wadau wenye kujua tujulishane.
1 Reactions
46 Replies
4K Views
UPDATE 3 Nilikuwa busy siku kadhaa hata mdua wa kusoma sikuweza. Ila leo nilipata mdua nikaamua kujaribu kujikumbusha vitu. Nimeweza kutengeneza code ambazo ukiruni zina demand uweke do list...
18 Reactions
66 Replies
5K Views
Kwa wanaofahamu naombeni msaada.
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Habari wanajukwaa nahitaji msaada wa kupata fan nzuri ambayo itadumu na inafanya kazi kwa ufanisi mkubwa, awali nilipata dolphin model yake nimeisahau ila ni mwaka wa tano huu inafanya kazi vizuri...
1 Reactions
1 Replies
402 Views
Tangu mwezi Novemba mwaka jana nimekuwa miongoni mwa wateja wa kwanza wa kutumia huduma za vodacom 5G supakasi ya home internet kwa kutumia device yao mpya ya NOKIA FastMile 5G Gateway 3.1 na leo...
25 Reactions
59 Replies
11K Views
Ni hivi, kuna kitu inaitwa YOUNG SCIENTISTS TANZANIA, hii ni maalum kwa Wanafunzi sekondari, wanabuni wazo/tatizo ambalo ni common katika Mazingira yetu ya kitanzania, Mfano labda kuna tatizo la...
2 Reactions
5 Replies
596 Views
Habari wadau, huwa kuna apps nyngi ambazo zinasaidia kuongeza followers na likes kwa kulipia;nyingine ni feki na nyingine zinafanya kazi. MUHIMU: Hii ni kwa wale wanopenda kuwa na followers wengi...
1 Reactions
6 Replies
17K Views
Habari wana jf. Naomba msaada wa youtube app ambayo sio ya kulipia na haina matangazo.nimetumia vanced siku moja haifanyikazi tena ila ni nzuri haiweki tangazo hata moja.
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Remote yangu imeharibika nataka nipate mpya napata wapi na bei yake nipo dar es salaam.
1 Reactions
1 Replies
631 Views
Inaonyesha after five minutes inazima ghafla na kujiweka katika standby mode, naomba msaada shida ni nini? Zoezi hili limekuwa endelevu, nikiizima wiki nzima inaweza onyesha vizuri kama Haina...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu zangu habarini za jioni, Naomba mnipe connection wap nitapata remote ya jvc model 43c862
1 Reactions
2 Replies
382 Views
Naomba software ya Ms word 2019 au 2021,2023 iliyo free amba syo y kulipia au kma mtanielekeza pia website pakwenda kuipakua nitashukuru wandugu
3 Reactions
2 Replies
398 Views
Back
Top Bottom