JOHN MADIBA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2011
- 251
- 155
Naombeni msaada kujua Ipi ni nzuri. katika Fuel consumption na bei inakuaje kuagiza. used from Japan. Na mengineyo wadau. Jamani nahitaji mawazo yenu chochote wakijua usisite kuniambia
4WD kwa hizo zote mbwembwe tu hakuna tofauti na bajaj.
Fun cargo inatumia mafuta vizuri kuliko IST,
Pia funcargo inayo nafasi kubwa hata kama unaweka mizigo
Ukiagiza japan saiv sijajua ushuru maana miaka ya uchakavu imepungua toka 10 mpaka 8
Hata engine zikiwa sawa 2nz?Fun cargo inatumia mafuta vizuri kuliko IST,
Pia funcargo inayo nafasi kubwa hata kama unaweka mizigo
Ukiagiza japan saiv sijajua ushuru maana miaka ya uchakavu imepungua toka 10 mpaka 8