Ni kampuni gani ya redio za music mnene inavunja records?

Ni kampuni gani ya redio za music mnene inavunja records?

Bei zake na model yake naweza iona nijikadilie kama ni size yangu
Soundstick 4 - 850,000 unapata
harman aura 3 -800,000
Go play 3- ya kuchaji 1,200,000
Studio 8 -ya kuchaji 650,000
NB: hizi bei unapata kwa wale wauzaji wasio na tamaa. Ukitaka kwa bei hizo wacheki igadgets.tz au mrdigital_samora on instagram
 
JBL go 3
JBL clip 4

JBL flip 5
JBL flip 6
JBL charge 5
JBL pulse
JBL Xtreme 3
JBL boombox 1.2.3

JBL partbox 310
JBL partbox 110
JBL partbox 710

Pesa Tu ndugu zangu hizi mashine achana nazo

Anahitaji nauza JBL flip 5 classic music [emoji91]
 
Back
Top Bottom