Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hii December nimepigwa ban mara sita Nimetumia number mpya hiyo hiyo ikapigwa ban Nimeadd member kwenye group nikapigwa ban Nimetuma text kwa chatgpt nikapigwa ban Kurud hiv vitu vikawa...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Wataalamu ebu nishaurini. Nina iphone 12 pro max nataka kununua iphone 14 pro max au samsung s22 ultra. Which way should I go!
6 Reactions
64 Replies
7K Views
Habari wana-tech, Leo nataka kuwashirikisha mradi wangu mmoja wa open-source unaitwa OllaBridge. Huu mchongo utawasaidia sana ma-developer wenzangu wanaotumia shared hosting (kama Hostinger...
3 Reactions
0 Replies
145 Views
Wakuu hivi huwa mnachajiwa Tshs kwa huduma za kuscaniwa magari. Kuanzia code za kawaida za injili hadi mfumo mzima wa gari
1 Reactions
4 Replies
191 Views
Christina Koch akipiga selfie na Dunia kutoka space. Nasa wameconfirm iPhone 17 Pro Max imehusika.
9 Reactions
17 Replies
505 Views
Kwanini matumiz ya vifaa vya mawasiliano vilivyoungwa au kutumia satelaiti ni haramu kwa matumizi ya kijamii na ata ukitaka kutumia kihalali basi utakutana na vikwazo vingi sana tena nimegundua...
1 Reactions
5 Replies
129 Views
Kwanza kwa niaba ya Familia nzima ya HONOR Tanzania (inatamkwa HONA) tunashukuru Timu ya 'Jamii Forums' kuturuhusu kuja huku kwaajili ya kuendeleza elimu na ubadilishanaji wa ujuzi na kuchangia...
5 Reactions
10 Replies
305 Views
Nataka nianze work from home. Sasa naulizia hizi PC naziona online bei Tsh 550-750k All in One, majina makubwa kama Dell, HP, Lenovo. Sasa niko hapa najiuliza, zina faa au danganya toto? Kama...
6 Reactions
12 Replies
942 Views
The browser is the "engine," but the proxy is the "fuel." Even a Ferrari (MoreLogin) won't move if you put water in the tank (Free Proxy/VPN). -- Kwa sasa natumia Browser hizi: Incogniton...
0 Reactions
2 Replies
113 Views
ChatGPT ni artificial intelligence iliotengenezwa na openAI, unaweza iuliza ikuandikie barua, report, inaweza kutengeneza website na mengine mengi, yajayo ni hatari sana Hii kitu nimekuwa...
13 Reactions
850 Replies
70K Views
This ebook introduces the world of Data Science in a simple and practical way. It covers key concepts such as data collection, cleaning, analysis, visualization, and machine learning. You will...
1 Reactions
0 Replies
129 Views
Habari wadau wa Technologia natumai mko poa Msaada wi-fi na hotspot hazifanyi kazi kwenye simu yangu nahii imetokea baada ya AC kuzingua sasa nimejaribu kureset mobile network lakini bado...
3 Reactions
19 Replies
446 Views
Simu in Samsung A12 Nili nunua unboxed haijawahi sumbua kabisa ,ila hili tatizo lime anza baada ya kubadii kioo Nili peleka kwa fundi aka badili waya wa mtandao lakini tatizo Bado lipo aka...
3 Reactions
7 Replies
215 Views
Natafuta fundi projecter nina projecter inasumbua lenzi
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari zenyu wakurungwandu. Nisiwachiahe na hizi swaum. Nijielekeze kwenye mada moja kwa moja. 1. Nahitaji fundi wa projector aina ya Epson. Shida yake ni kutowaka 2. TCL flat screen 42'...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujua hilo kadi ZOTE za virtual prepaid hadi bank ya nmb zimeshindwa Kwa kadi za virtual aka prepaid zimeinyesha wazi kukataliwa Sasa nilivyokuja Kwa bank nmb imegoma hii hapa chini ni...
2 Reactions
5 Replies
207 Views
Moja kwa moja kwenye uzi. Nimechanganya media, dishi ni la Str Times na king'amuzi ni cha Azam. Chaneli za Star Times zinaonekana kwenye skrini sambamba na chaneli za Azam. Sijalipia za Star Times...
4 Reactions
6 Replies
241 Views
Mambo vipi wadau! Naomba mchango wenu kimawazo kuhusu simu yenye camera nzuri kwa ajili ya matumizi ya kupigia picha na video za kupost kwenye page yangu ya biashara ya instagram, tiktok na...
11 Reactions
72 Replies
2K Views
Hivi karibuni Halotel waliansa kuuza rouer zao za 5g. Naamini humu ndani naamini kuna mtu au watu watakuwa washaitumia. Tunaomba mtupe mrejesho kuhusu ufanisi wake Ahsante
6 Reactions
10 Replies
546 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…