Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu? Je naweza kufahamu namba ya simu kwa kutumia hizi namba ? Ahsante
5 Reactions
7 Replies
383 Views
Wadau heshima kwenu,mgeni kidogo hapa,msaada tutani nina sj 5 na kwenye kizibo oil inayotakiwa nimeona ni OW 20,na nimekuta kuna kampuni mbili aina ya alphard titanic ila nimeshangazwa sana na...
2 Reactions
6 Replies
362 Views
UNAWEZA nambia Kuna ulazima WA Mimi KUWA na router ILI KUWA na unlimited? Je siwezi KUWA monitored nikiwa na unlimited Kwa card ya simu? Kama router ni Kwa ajili ya ofisini na majumbani vipi Kwa...
21 Reactions
87 Replies
6K Views
Habarini wadau. Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa...
8 Reactions
550 Replies
46K Views
Microsoft office, word, excel, n.k - $99.99 kwa mwaka (Tshs 245,000 ) AutoCad - $2,095 kwa mwaka (Tshs 5,140.000 ) Photoshop - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 ) Adobe Premiere - $263.88 kwa...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu. Mimi uwa inachukua miaka miwili au mitatu kubadilisha simu, tukitoa emergency za kupoteza, kuibiwa au kuharibika. Mara zote nanunua used, uwa natafuta flagship ya miaka miwili iliopita...
12 Reactions
67 Replies
1K Views
##Extend your laptop battery life 1. Use hibernate mode when the laptop will not be used for an extended period. 2. Calibrate the battery periodically by allowing it to discharge and then fully...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Bila dalili za awali, kampuni ya TCL imetangaza mpango wa kununua kitengo cha burudani za nyumbani cha Sony, kinachojumuisha televisheni na vifaa vya sauti vya nyumbani. Kampuni hizo mbili...
0 Reactions
2 Replies
204 Views
Habari za muda huu wanateknolojia Nikiwa kama mdau wa kusoma vitabu mbalimbali, ni kwa muda sas nimetafuta app inayoweza kuconvert texts to voice note ( hasa kwa pdf books) ili kurahish usomaji...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Mawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano ya Tanzania ni matumain yangu wote mpo salama kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu. Kwa yeyote anayefaham Apps kali ya ku edit picha naomba...
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Maoni yenu wakuu. Zote ziwe 512GB. ipi nichukue, ni mtumiaji wa ios na android pia. Nilitaka nibebe zote pamoja, lakin nataka nianze na moja. Kama kuna tofauti na hizo ambazo bora zaidi...
3 Reactions
27 Replies
707 Views
Wadau wa tech hamjawai kuniangusha. Anayejua wireless earphones kwa android zenye mziki mzuri kama za wire. Location: dar Bajet 100k. Brand nzuri. Muundo mzuri. Charge ndefu. Picha ya mfano wa...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Hatimaye ile vita ya utata iliyopo kati ya Android na iphone imefikia tamati baada ya Google kutambulisha mfumo rahisi wa kuweza kurushiana vitu Toka Kwenye android kwenda kwenye iphone. Kupitia...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Google Iko kwenye mpango mzuri wa kuweza kuruhusu watumiaji wa akaunti za Gmail (Google Account) kubadilisha username za email zao Kwa urahisi. Mfumo huo utaanza kufanya kazi kuanzia mwaka 2026...
3 Reactions
4 Replies
330 Views
Najua Hisense ni brand kubwa ulimwenguni ilo halina ubishi lakini maisha yanakwenda kasi na Teknolojia inazidi kubadilika mambo mengi yananadilika leo nakuambia mambo muhimu unapaswa kuyafahamu...
6 Reactions
69 Replies
4K Views
Kuna hii inaitwa Whatsapp bot ukiiset kwenye Whatsapp yako unaweza kupata features zifuatazo na hizi ni baadhi TU ila zipo 500+ Zaidi siwezi zielezea zote . Naelezea baadhi tu 1. Kuweza kuona...
2 Reactions
11 Replies
672 Views
Wakuu, moja kati ya passions nilizonazo ni pamoja na kuwa "data analyst ". Nipo kwenye process ya kumalizia SQL queries course relating to data analytics. Katika research ambayo nimefanya huko...
3 Reactions
8 Replies
365 Views
Kama kuna mtu ana mouse ya bluetooth au anajua wanaponiuza,anisaidie tafadhali. Nina shida nayo. Hata ikiwa ya kurecharge ni sawa tu.
2 Reactions
3 Replies
218 Views
Nahitaji mouse ya kuchaji. Picha na bei tafadhali
0 Reactions
2 Replies
256 Views
Back
Top Bottom