Natafuta fundi wa projector na tv.

Natafuta fundi wa projector na tv.

zwangandaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2023
Posts
750
Reaction score
1,426
Habari zenyu wakurungwandu.

Nisiwachiahe na hizi swaum. Nijielekeze kwenye mada moja kwa moja.

1. Nahitaji fundi wa projector aina ya Epson. Shida yake ni kutowaka

2. TCL flat screen 42'. Ilipata hutilafu fundi kanambia shida ni kioo ila hajui pa kuvipata.

Kama yupo anaeweza kurepair vyote au kimojawapo basi anijuze.

Asallm aleykum
 
Salama wakuu.

Kwa mara nyingine naleta kwenu maombi ya ushauri na connection ya mafundi wa hizi zana zangu.

1. Projector aina Epson
2. Kioo cha TV TCL 40"

Natanguliza shukrani kwenu.
 
Back
Top Bottom