Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Water vapour found at distant Neptune-sized planet ...
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Wadau wa teknolojia hili tatizo la internet kutotulia kwenye H au H+ limekuwa zaidi ya kero kwenye simu yangu, yani muda wote inabadilika badiilika mara h,3g,e na mara moja moja sana inakuwa h+...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
oya wadau kwa mtu yeyote mwenye lile draft la wale madada wanao vua nguo aliweke humu, hard disc yangu imekufa ndo maana nimelipoteza hilo game au kama kuna link itupieni humu
0 Reactions
2 Replies
6K Views
kulingana na kura zilizopigwa na maeditors,+authors wa web ya cnet.com wameonelea hivyo binafsi nakubaliana nao,pitisha macho juu ya hiyo video then acha comment chini ya hiii thread Prizefight...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Wakuu naombeni msaada wenu kuhusiana na hii program, wanasema inauwezo wa kurestore data/file ambalo lipo parmanently deleted, wakuu naombeni msaada wenu jinsi ya kurestore kazi yangu nliokua...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Stunning photos taken of secret lava cave Nature photographer Josh Hydeman explores an underground cavity formed by flowing lava 8,000 years ago in a location somewhere in Washington...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Natumia iphone na mpaka kufikia leo natumia application ambazo ziko free. Sasa kuna application ambazo nataka kupurchase ila napata kikwazo kwenye payment method. Kadi yangu ni...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Katika uchunguzi wangu nimegundua uwezo na speed ya intaneti kwenye simu inategemea pia setting za apn (access point names) ukiwa na apn nzuri unaweza kupata hata intaneti yenye kasi inayoweza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za Asubuhi wana JF, Leo asubuhi maeneo ya Banana nimeibiwa simu yangu aina ya Asus Zenphone5,naombeni msaada kwa yeyote ambaye anaweza nisaidia jinsi ya kuipata hii simu kwa namna yeyote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale mliopo kwenye vikundi kama vikoba, mashilika au vikundi vya watu na huwa mnatumia simu kwa ajili mawasiliano, ni kwamba kampuni ya simu ya zantel ina huduma maalumu kwa ajili ya watu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za Asubuhi wana JF, Leo asubuhi maeneo ya Banana nimeibiwa simu yangu aina ya Asus Zenphone5,naombeni msaada kwa yeyote ambaye anaweza nisaidia jinsi ya kuipata hii simu kwa namna yeyote...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Natumia pc HP pavilion dm3 ina hdd 320 na ram 4gb AMD Athlon Neo X2 dual core Processor L335 1.60GHZ Tatzo lake inakuwa Too Hot kweny upande wa HDD Msaada wenu kwa kijana wenu hapa
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Nataka kudownload movie hii hapa chini kutumia nero au express burner,je kuna haja yoyote ya kui convert kuwa kwenye DVD format kabla ya ku download? Msaada kwa anaefahamu tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Hivi nikitaka nitumie internet kwenye blackbery 9530 ni mpaka niende kwenye ofisi husika au kuna njia mbadala?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar wakuu Leo katika kupita pita nimekuta hii mahal fulan nimesoma naona haina tofaut na google adsense mwenye kujuah atufanulie tafadhali http://www.server.tanzaads.com/ Cc Donn...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kuelekezwa namna ya kutumia twitter na FB kwa pamoja pale nnapo post tweet itokee kwenye wall ya fb
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu habarini za asubuhi! poleni namajukumu, Nina laptop ya dell satelite 530 ina vga card ya 64mb yaani kuna gemu la assan creed hata ailisukumi. Nisaidieni kwa hilo kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wataalamu naomba msaada,simu yangu ni nokia asha 201 inatatizo la kujirestart kwa muda mrefu sana pindi ninapoizima na kuiwasha,hii imepelekea nichaji simu bila kuzima naomba kujuzwa tatizo ni nini?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Are there any computer programming enthusiasts in Dar es Salaam? I would like to meet other coders to develop my skills and develop mobile applications.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
HELLO! SIMU YANGU TAJWA HAPO JUU IMEKUMBWA NA MKASA WA KUWA LOCKED.Imedisplay McAfee mobile security ,wataalum wa hili suala tafadhali nielekezeni kama kuna software yoyote ya ku-unlock,au kama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom