Kwa tigo,airtel nenda ila kwa voda piga customer care tu
Hivi nikitaka nitumie internet kwenye blackbery 9530 ni mpaka niende kwenye ofisi husika au kuna njia mbadala?
zipo nyia za kutoa bundle la blackberry ila kama unataka kutumia bundle lao kwa tigo na voda ni sh.500 /kwa siku ukijiunga kwenye hiki kifurushi unaingia setting-device-advanced settings-kisha host route table unabonyeza menu kisha register kisha zima simu kabisa yaan toa battery kisha subiri 2 minutes then weka kisha ikwaka utaona kwenye host routing table unaona mitandao hapo tayari unaweza kutumia internet siku nzima