Habari zenu wakuu,
Natumia iphone na mpaka kufikia leo natumia application ambazo ziko free. Sasa kuna application ambazo nataka kupurchase ila napata kikwazo kwenye payment method. Kadi yangu ni Master card ya CRDB nikiingiza card no na security code inaniletea ujumbe "payment method was declined, choose another payment method".
Naomba ufumbuzi kwa hili kwa mwenye ujuzi.