Msaada: Simu imeibiwa

Msaada: Simu imeibiwa

Second Lieutenant

Senior Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
143
Reaction score
26
Habari za Asubuhi wana JF,

Leo asubuhi maeneo ya Banana nimeibiwa simu yangu aina ya Asus Zenphone5,naombeni msaada kwa yeyote ambaye anaweza nisaidia jinsi ya kuipata hii simu kwa namna yeyote ile.Simu ilikuwa na Parten,Je electronically naweza mjua mtu ambaye anaitumia sasa hivi?

Any help Please.
 
kusaidiwa kuipata ni vigumu mno kijana wewe nunua mpya tu
 
Back
Top Bottom