Wakuu nitaongezaje Video memory ya laptop yangu ?

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
Wakuu habarini za asubuhi! poleni namajukumu,

Nina laptop ya dell satelite 530 ina vga card ya 64mb yaani kuna gemu la assan creed hata ailisukumi.

Nisaidieni kwa hilo kama naweza ku upgrade VGA yangu.
 
kwa desktop najua inawezakan,,bt kwa laptop cjui,
wait watakuja wanaojua.
 
inawezekana endapo graphic card yako haijawa built in na CPU
 
Wakuu habarini za asubuhi! poleni namajukumu,

Nina laptop ya dell satelite 530 ina vga card ya 64mb yaani kuna gemu la assan creed hata ailisukumi.

Nisaidieni kwa hilo kama naweza ku upgrade VGA yangu.

Sio kweli kuwa Video memory ya laptop yako ni 64 Mb, minimum inaweza kuwa 128 Mb, lakini inaweza kuwa 256 mpaka 512. Jaribu kufanya hata hizi.

1. Weka recomended Os (window), kama hujui weka Xp sp3.

2. Update Graphics Drivers.

Lazima utapata parfomance kamili ya VGA yako.
 
kaka unawajua intel wewe? achana na hiyo gpu ya zamani even hizi mpya mpya intel graphic hd 4000 zina vram 64mb. jamaa huwa wanazingua sana kwenye gpu.
 
Back
Top Bottom