Nini suluhisho la tatizo la internet kwenye simu?

Nini suluhisho la tatizo la internet kwenye simu?

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,651
Reaction score
3,822
Wadau wa teknolojia hili tatizo la internet kutotulia kwenye H au H+ limekuwa zaidi ya kero kwenye simu yangu, yani muda wote inabadilika badiilika mara h,3g,e na mara moja moja sana inakuwa h+ tena kwa sekunde chache sana mpaka inapelekea kushindwa kufanya mambo yangu vizuri, yani unaeza ukafungua notifications kwenye jf app ikaload mpaka unasahau yani.

Sasa hakuna suluhisho lolote kwa hili tatizo wadau? Natumia airtel.
 
Wadau wa teknolojia hili tatizo la internet kutotulia kwenye H au H+ limekuwa zaidi ya kero kwenye simu yangu, yani muda wote inabadilika badiilika mara h,3g,e na mara moja moja sana inakuwa h+ tena kwa sekunde chache sana mpaka inapelekea kushindwa kufanya mambo yangu vizuri, yani unaeza ukafungua notifications kwenye jf app ikaload mpaka unasahau yani

Sasa hakuna suluhisho lolote kwa hili tatizo wadau? Natumia airtel

Hili ni tatizo la mitandao ya kibongo mkuu.Haipo stable kabisa.
 
Simu yako aina gani mkuu? Nenda kwenye settings za network weka 3G permanent.
 
mkuu voda h+ inasimama mda mrefu sana..

kifupi airtel wameelemewa sahv na wanatakiwa wa upgrade mitambo yao
 
wakuu hum ndan,mi natumia TECNO P5 na natumia voda ,yaan shida aloeleza uyo jamaa apo juu ni maswahibu mjo kwangu. i real don enjoy. npo MASASI mjini uku mtwara. mtandao full.but cjui inakuwa kwa 3G,H,H+ na "e". yaan net ipo ovyo na nafadhaika mno. nikiapigia voda stms wakorof kwel had naogopa.

Nisaidieni bataalam ba humu ndan. inajera xanaxana mtu ackwambie ati. .

msaada tafadhali. NATANGULIZA SHUKRANI.
 
Hapana siyo tatizo la mtandao ni tatizo la simu,nikiweka chip ya tigo kwenye simu x2 network inakua fasta,katika eneo hilohilo nikiweka hiyohiyo chip kwenye galaxy ace internet inakua very slow kiasi nasahau hata nilichokua nafanya,
Hili ni tatizo la mitandao ya kibongo mkuu.Haipo stable kabisa.
 
Back
Top Bottom