Msaada: Tatizo la simu kujirestart

Msaada: Tatizo la simu kujirestart

halati88

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
461
Reaction score
148
Wataalamu naomba msaada,simu yangu ni nokia asha 201 inatatizo la kujirestart kwa muda mrefu sana pindi ninapoizima na kuiwasha,hii imepelekea nichaji simu bila kuzima naomba kujuzwa tatizo ni nini?
 
nenda kwenye settings then restore "factory setting",,password ikihitajika weka 1 hadi 5 halati88
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom