jichola3
Mimi nina frinds zangu wa3 we are doing it as a team. Hakuna support kwenye hiyo field, but we plan to be the changes. Tumesha tizama uwezekano wa kutafuta support kutoka kila kona lakini vijana wenzetu hawana muamko kabisa.
Tumekuwa wapweke sana, tunahitaji kabisa kuwa na jumuia ambayo tutakuwa tunabadilishana uzoefu na kufanya open source project kwa pamoja. atleast one day tulisaidie hili taifa kwa kutumia computer programming.
Are there any computer programming enthusiasts in Dar es Salaam? I would like to meet other coders to develop my skills and develop mobile applications.