How to unlock the locked sony xperia!

How to unlock the locked sony xperia!

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,789
Reaction score
4,838
HELLO!
SIMU YANGU TAJWA HAPO JUU IMEKUMBWA NA MKASA WA KUWA LOCKED.Imedisplay McAfee mobile security ,wataalum wa hili suala tafadhali nielekezeni kama kuna software yoyote ya ku-unlock,au kama kuna fundi humu,natafuta the best and less cost possible,NIKO DAR ES SALAAM.
simu ni:
model:C5303
IMEI:35660405-262727-9
Ninatanguliza shukrani!
 
ni network lock au passcode za kawaida kaka? Jaribu kurepair kwa kutumia Sony pc companion, google kuna maelezo mazuri tu ya namna ya kufanya kutumia hyo software
 
ni network lock au passcode za kawaida kaka? Jaribu kurepair kwa kutumia sony pc companion, google kuna maelezo mazuri tu ya namna ya kufanya kutumia hyo software

nahisi ni network mkuu ngoja nijaribu nione thanks!
 
hiyo simu itakuwa uliinunua kwa mtu na huyo mtu aliiba, sasa mwenyewe nayo alikuwa kainstall mcafee antivirus sasa akaamua lock hiyo simu.
kuwa makinu anaweza illocate akajua ilipo, anaweza pata picha yako kama ukiwa waitumia inaweza kupga picha bila wewe kuwa na taarifa ikatuma kwenye web ya mcafee akaipata via account yake
anaweza amua futa data zote kwenye simu.
 
hiyo simu itakuwa uliinunua kwa mtu na huyo mtu aliiba, sasa mwenyewe nayo alikuwa kainstall mcafee antivirus kwa ajili ya protection.
kuwa makini anaweza pia i locate akajua ilipo maana ameamua kuifunga anaweza pia futa data pia anaweza upload pics zako akazipata via mcafee web akilogin kwenye account yako.
ni hayo tu....
 
hiyo simu itakuwa uliinunua kwa mtu na huyo mtu aliiba, sasa mwenyewe nayo alikuwa kainstall mcafee antivirus kwa ajili ya protection.
kuwa makini anaweza pia i locate akajua ilipo maana ameamua kuifunga anaweza pia futa data pia anaweza upload pics zako akazipata via mcafee web akilogin kwenye acount yako.
ni hayo tu....
simu ilijilock

yes kitu kama hicho,lakini case ni tofauti kidogo simu ilijilock na number ya kurecover PIN niliyoweka haija pokea hiyo PIN mpaka sasa!
 
HELLO!
SIMU YANGU TAJWA HAPO JUU IMEKUMBWA NA MKASA WA KUWA LOCKED.Imedisplay McAfee mobile security ,wataalum wa hili suala tafadhali nielekezeni kama kuna software yoyote ya ku-unlock,au kama kuna fundi humu,natafuta the best and less cost possible,NIKO DAR ES SALAAM.
simu ni:
model:C5303
IMEI:35660405-262727-9
Ninatanguliza shukrani!


Je, unataka kufungua yako Sony C5303 kutoka mtandao lcok? Kama ni hivyo, matumizi ya kufungua code kwa kufungua hiyo. Unaweza kupata kutoka yoyote ya wachuuzi online kama OnlineGSMUnlock.com ya kufungua yake.
 
Back
Top Bottom