mtanzania10
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 271
- 81
Naomba kuelekezwa namna ya kutumia twitter na FB kwa pamoja pale nnapo post tweet itokee kwenye wall ya fb

Blackberry users wengi huwa naona wanafanya hayo!
Jaribu kuwa una share.
Naomba kuelekezwa namna ya kutumia twitter na FB kwa pamoja pale nnapo post tweet itokee kwenye wall ya fb
Hii utaweza kuifanya ukiwa na PC kwa kufungua kipengele cha setting
http://twitter.com/settings/profile
Chini utakuta sehemu imeandikwa "Sign
in to Facebook and connect your accounts" hapo utaingiza details zako na kuikubalia requests app hiyo na utakuwa umekamilisha zoezi lako...
****
(Kama lengo lango ni tweets ziwe zinaenda automatic kwenye account yako ya facebook."
hakuna mwenye ujuzi huu
Naomba kuelekezwa namna ya kutumia twitter na FB kwa pamoja pale nnapo post tweet itokee kwenye wall ya fb
Una Tsh. ngapi nikuelekeze?