Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba ushauri kuhusu hii account.Nimejaribu kusoma maelezo yake lakini bado sijaelewa.Naomba anyeweza kunishauri katika lugha nyepesi.
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Nimeizima vizuri lakini leo kuwasha imegoma kuwaka nimeifungua ndani kwenye motherboard kuna kitaa cha kijani kinawaka tatizo itakuwa ni nini na nifanyeje kuifanya iweze kuwaka ? Sent from my...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
ndugu na marafik naomben msaada, nina nokia lumia 920 ila inatatizo la kujizima zima. Mfano ukipiga picha inazima, pia sometime inajifungua yenyewe ile search ya bing.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello wanaJF, We are Powercomputers, we are official authorized dealer of selling,providing services, and support to the TALLY customers if you need to purchase this accounting software or you...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Wasalaam Wakuu,naulizia kwa yeyote mwenye kufahamu gharama za kufunga CCTV Camera,nina project yangu inayohitaji CCTV Camera 4.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadua nipeni maujanja jinsi ya kuichakachua hiyo modem. natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
674 Views
wakuu nina modem ya huawei e153 ya tigo ambayo nimei downgrade....... sasa spidi yake siyo kama ilivyokuwa awali hivyo basi vipi ninaweza ku upgrade modem yangu?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani waungwana ninasimu yanu aina ya acer model E320 Imepasua kioo kwa yeyote anayejua ninapoweza kupata hiyo touch na kioo naomba msaada wake wa maelekezo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana Jf nina simu yangu ya Iphone 4 nilibadili version yake ila baada ya kuja kuwaka ikawa ina nidai ID na vitu vingne ambavyo mm nilishavisahau so natakiwa ku unlock mwenye maarifa juu ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa habari niliyoipata muda so mrefu azam tv wataanza kurusha eatv na Itv kupitia king'amuzi chao source azam tv Facebook page
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Naombeni mtaalam anayejua maujanja ya kutumia Star times Bila kulipia.Kama Upo nipm
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Habari za mchana wakuu Na laptop yangu ni DELL latitude 530. Ambayo specification zake ni Ram 2Gb , processor ni core 2 .video memory ni 64 mb iko fredh tatizo ni hiyo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari wakuu ningependa kujua bei ya lumia1320 kwa hapa bongo na ntaipata maduka gani?
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Jamani hii system imeondoa Hotspot kwenye simu yangu msaada kwa mjuaji!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu kwa yoyote alieshawahi kufanya hii biashara atupe ndondoo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hallo wazalendo, naomba anayejua mahali naweza kupata battery ya laptop lenovo 3000 N2000. Nijulishe mahali au msaada wa kuipata pia bei yako. Nipo Uyole -Mbeya. Shukurani.
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Naomba msaada mwenzenu. Naipenda JF ila natamani kuwe na option ya kublock mtu yani post yake mimi tu nisiione. Wengine wenye kuenjoy style yake waendelee kufaidi. Inaweza kuwapo?
1 Reactions
0 Replies
788 Views
Rafiki kama nilivyoeleza hapo juu naomba mwenye software ya time watcher anisaidie nini cafe ndogo kama computer 5 sasa nashindwa kuweka kumbukumbu za muda kwa wateja na kila mteja ana saa yake...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ilianguka ikapasuka screen. still inadispaly vizuri tu kila kitu ila imepoteza TOUCH SENSE. MSAADA tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naombeni mnipe ushauri.. Nataka kufungua mtandao wa habari, Nimeshajiandaa baadhi ya vifaa kama camera na tape recorder Naomba mnisaidie mawazo yenu mliowajuzi wa aya mambo, ni kipi...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Back
Top Bottom