Naomba Msaada, nahitataji time watcher kwa ajili ya internet cafe ndogo

mshamu

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
418
Reaction score
134
Rafiki kama nilivyoeleza hapo juu naomba mwenye software ya time watcher anisaidie nini cafe ndogo kama computer 5 sasa nashindwa kuweka kumbukumbu za muda kwa wateja na kila mteja ana saa yake sasa ikitokea nikimwambia mteja muda umeisha inakuwa mgogoro kidogo naomba msaada wenu rafiki zangu. Shukrani zangu za dhati kwenu wote.
 
Zipo nyingi kuna handycafe
Kuna antamedia
Lakini nzuri na ya bure ni timewatcher ukiandika google utaiona link yake nadhani ni timewatcher.de kwenye administrator utainstall kama server kwenye computer myingine utainstall kama client hii mara nyingi inapendeza kama computer zako zikiwa na static ip address
 
Nashukuru sana mkuu ila nimecheck naona kama wanakupa trial version tu na kama ukiipenda ndo ununue sasa nisaidie kupata full cracked version mkuu. Asante sana kwa kuwa tayari kunisaidia.
 
Mkuu tumbukia www.keygen.la cracks za timer utapata hapo.
Nashukuru sana mkuu ila nimecheck naona kama wanakupa trial version tu na kama ukiipenda ndo ununue sasa nisaidie kupata full cracked version mkuu. Asante sana kwa kuwa tayari kunisaidia.
 
Rafiki kama nilivyoeleza hapo juu naomba mwenye software ya time watcher anisaidie nini cafe ndogo kama computer 5 sasa nashindwa kuweka kumbukumbu za muda kwa wateja na kila mteja ana saa yake sasa ikitokea nikimwambia mteja muda umeisha inakuwa mgogoro kidogo naomba msaada wenu rafiki zangu. Shukrani zangu za dhati kwenu wote.

The best kwa free time watchers ni Handycafe - ina nakala kwa ajili ya computer utakayoitumia kama server na nakala ingine kwa ajili ya wateja wako au clients.

hailipiwi bali wanakupa serial number free baada ya kuwapa jina lako, email address yako ambayo wataitumia kukutumia serial number.

ina mabo mengi mazuri kama ku control printing, kujulisha muda uliobaki kwa mteja, kuwasiliana na mteja kuhusu jambo lolote na pia kukupa rough estimation ya kipato kwa siku husika. kwa ujumla ina mambo mazuri mengi tu.

Gonga hapa ui download for free:

Download - Free Internet Cafe Software, WiFi Hotspot Software, Cyber Cafe & Gaming Center Software including Firewall
 
daah hivi cafe bado zipo.?

zipo ingawa profit yake iko sensitive sana kwa vile watumiaji wamepungua hata nyakati zile za matokeo ya mitihani - sana sana upate wakati wa form filling.

kwa vile profit ni sensitive inabidi uwe mwangalifu katika kuamua ununuzi wa bundles - unlimited ni best au la utafute IT experts wakupe software ya ku control downloading maana unaweza lia kimbwa

samahani huenda nimejibu swali lako sivyo, ndivyo
 
umejuaje?
 
The best kwa free time watchers ni Handycafe - ina nakala kwa ajili ya computer utakayoitumia kama server na nakala ingine kwa ajili ya wateja wako au clients.

hailipiwi bali wanakupa serial number free baada ya kuwapa jina lako, email address yako ambayo wataitumia kukutumia serial number.

ina mabo mengi mazuri kama ku control printing, kujulisha muda uliobaki kwa mteja, kuwasiliana na mteja kuhusu jambo lolote na pia kukupa rough estimation ya kipato kwa siku husika. kwa ujumla ina mambo mazuri mengi tu.

Gonga hapa ui download for free:

Download - Free Internet Cafe Software, WiFi Hotspot Software, Cyber Cafe & Gaming Center Software including Firewall

Nichukuwe fursa hii kukushukuru wewe binafsi pamoja na wote waliweza kutoa mchango wao. Naomba moyo huu uendelee kwani watu wengi watakuwa wanapata msaada hapa. Nimeyafanyia kazi mawazo yako majibu nitaleta kwenu mapema tu.
 
Back
Top Bottom