kaka hebu fanya hv kwanza,
-nenda my computer then system rating run ile system rating then uangalie score zako zipo vipi. kama una score 1 kwenye gaming na graphic ujue huna driver hivyo utahitajika kueka driver ili kuipa nguvu pc yako. kama imezidi moja ujue hapo ndio mwisho wa uwezo wa pc yako
-ukishamaliza kuipa rating bonyeza sehemu ya print utaona details za pc yako then nenda kwenye video card utaona shared memory na dedicated.
mfano shared unaweza kuta ni 1.8gb na dedicated ni 64mb ukihakikisha kama shared ni kubwa fuata maelekezo haya
-zima computer then washa kwenye bios then tafuta utapata option ya kuongeza dedicate memory kutoka shared memory.ila si pc zote zinakubali option hii, ukiikosa ndio bas tena