Wakuu kwa yoyote alieshawahi kufanya hii biashara atupe ndondoo
mkuu ni vyema ukajifunza kwanza kuliko kukurupuka na kutaka kujiingiza kwenye biashara hiyo kwani unaweza ilizwa bure
halafu ujijutie maishani mwako, anza kujifunza nini unataka kufanya kwenye online marketing kisha ndo ujiingize
Wakuu kwa yoyote alieshawahi kufanya hii biashara atupe ndondoo