modem ya ezynet 2g

modem ya ezynet 2g

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,365
Reaction score
2,064
wadua nipeni maujanja jinsi ya kuichakachua hiyo modem.
natanguliza shukrani
 
wadua nipeni maujanja jinsi ya kuichakachua hiyo modem.
natanguliza shukrani

Infomation ulizotoa hazitoshi kuchakachua modem
sema manufacturer ni Huawei au ZTE au Alcatel
pia twambie Model yake
 
sawa mkuu nitakutumia maelezo kadri nitakavyoyaona kwenye kasha lake.nimelisahau nyumbani.ahsante
Infomation ulizotoa hazitoshi kuchakachua modem
sema manufacturer ni Huawei au ZTE au Alcatel
pia twambie Model yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom