godfrey_avya
Senior Member
- Feb 25, 2014
- 131
- 24
wakuu nina modem ya huawei e153 ya tigo ambayo nimei downgrade....... sasa spidi yake siyo kama ilivyokuwa awali hivyo basi vipi ninaweza ku upgrade modem yangu?
itupe then nenda kanunue huawei e303h ya tigo ufurahie internet.wakuu nina modem ya huawei e153 ya tigo ambayo nimei downgrade....... sasa spidi yake siyo kama ilivyokuwa awali hivyo basi vipi ninaweza ku upgrade modem yangu?
nimeipenda hiyoitupe then nenda kanunue huawei e303h ya tigo ufurahie internet.
siku hizi watu tupo kwenye 14.4 Mbps so hukosi 5-9Mbps wakati hiyo e153 ikifika 3.6Mbps haiendelei na safari zaidi ya hapo hebu tupa kulee
mbona umejbu tofaut na hitaji la mtoa mada,??itupe then nenda kanunue huawei e303h ya tigo ufurahie internet.
siku hizi watu tupo kwenye 14.4 Mbps so hukosi 5-9Mbps wakati hiyo e153 ikifika 3.6Mbps haiendelei na safari zaidi ya hapo hebu tupa kulee
VIMODEM VYA 3.6 Mbps ni vyamwanzo mwanzo kabisa, zikaja za 7.2 Mbps na sasa 14.4Mbps wakati baadhi ya smart phone zina 21 hadi 42Mbps.mbona umejbu tofaut na hitaji la mtoa mada,??