Msaada kuhusu gharama za kufunga CCTV Camera

Msaada kuhusu gharama za kufunga CCTV Camera

Mgodo Mgodoki

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
1,399
Reaction score
1,368
Wasalaam Wakuu,naulizia kwa yeyote mwenye kufahamu gharama za kufunga CCTV Camera,nina project yangu inayohitaji CCTV Camera 4.
 
Wasalaam Wakuu,naulizia kwa yeyote mwenye kufahamu gharama za kufunga CCTV Camera,nina project yangu inayohitaji CCTV Camera 4.

Ukiwa mtundu kidogo si kazi sana unaweza hata ukafunga mwenyewe si kazi kubwa sana ya kuanza kutoa gharama kwa kufunga kila kamera mimi nilinunua tu nikafunga mwenyewe
 
nitayarishie DVR, camera na cable zake nakuja kukufungia bureeeeeee ila nauli tu ndo unipe
 
Ok kama unataka kununua cctv camera contact me 0714-087253
 
Back
Top Bottom