Itv na eatv kuanza kuonekana azam tv

Itv na eatv kuanza kuonekana azam tv

pablo escober

Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
81
Reaction score
3
kwa habari niliyoipata muda so mrefu azam tv wataanza kurusha eatv na Itv kupitia king'amuzi chao source azam tv Facebook page
 
Yeah nimeona wanasema muda wowote kuanzia sasa, wameshamalizana na IPP media.
 
Swali nje ya mada je naweza kupata tv za tz nikiwa nje ya nchi nimejaribu kupewa freq lakini naona hazikubali au bado hawajajiunga na satelite mwenye idea naomba ushauri
 
gud move, muweke na startv na channel 10 tuwakimbie wachina
 
Sasa nitajiunga na Azam Tv soon. Azam Tv pia wafikirie kuweka na chaneli za kidini kama vile Emmanuel Tv.
 
R.I.P. Star times......sasa rasmi natua Azam.!
 
siku izi ving'amuz vimekuwa kama simu! kila kampuni na manjonjo yake tu ilimradi wapurure mapesa yetu!
 
je ni kweli startimes nao wameanza wameanza huduma ya ma dish inayoonekana nchi nzima!!!!
 
Kweli mkuu hapa dakika 10 zilizopita nimeupdate dekoda yangu nimepata ITV na EATV5. Mwenyewe imenifurshisha sana kupata hizi channel. Sasa AZAMTV ni burudani kwa wote,karibuni wale wote ambao hamjajiunga.
 
ITV & EATV liveeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...
Safi saaan AZAM....
 
King'amuzi cha Azam kimeongeza channels 7 leo,ikiwemo ITV,EATV na CITIZEN.Kazi ni kwako sasa

BURTON JORDE(Mr Arsenal)
 
Samahani wadau kama nimekosea basi ni kwenye Citizen ila mathematically wameongeza 7,mazoea inapofanya loading unapoingia auto search inaandika total tv 52 leo baada ya kufanya hivyo imekuwa 59 zikiwemo na hizo.

BURTON JORDE
 
Back
Top Bottom