wicalumtata
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 329
- 113
ndugu na marafik naomben msaada, nina nokia lumia 920 ila inatatizo la kujizima zima. Mfano ukipiga picha inazima, pia sometime inajifungua yenyewe ile search ya bing.
Lumia nyingi huwez kuchaj kwa kutumia computer iwapo simu imeshazima completely.yan inakuwa yamoto sana wakati naitumia afu inasumbua sana chaji, ukichaj kwa kutumia compyuta inazingua sana
hapana sija update kwenda cyan. Naomba
unielekeze il niweze update