Habari zenu wakuu.
Kama wengi tunavofahamu, swala la accounting na book keeping ni muhimu katika biashara za aina zote.Shida inakuja pale unapotaka kutumia software ili ikurahisishie mambo...
Naomba anayejua fundi mzuri wa simu hapa dar anielekeze. Simu yangu imearibika spika kusikiklizana mpaka niweke loud. b'se bila hivyo siwez kusikia ..
Shukran.
Kuna ndugu yangu mmoja amenunua pikipiki aina ya skymark, ni pikipiki za kichina na inakuja na redio. ili kuweza kuplay miziki kwenye redio yao inabidi utumie full sd card, kurahisisha mambo...
Habari humu ndani.
Nina huawei ascend Y300 nilikuwa natumia laini ya tigo siku zote ila leo nimejaribu kuweka laini ya voda nikaiwasha ila ikaniomba niweke PIN NETWORK UNLOCK CODE sikuwa...
Nina simu yang Sumsung galaxy S3 nikiweka line network haipand ila inaonekana cm inasoma lin kuw ni tigo, tatzo ni network hukuchiz ya screen inaniandikia invalid IMEI-tigo Naomben msaada wenu.
Wana jamii kama sio ndugu yangu amenipigia sm ningearibu tv yangu, mm nilijua tv yangu mbovu kumbe ni kingamuzi cha star time kinazingua vp maeneo yenu hilo tatizo lipo ?
Big changes are coming to Mozilla, as Google will no longer be the global default search provider for the Firefox browser anymore. Instead, Yahoo will become the default U.S. search option in the...
Habari za jioni.
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tatu mwaka huu nlifanikiwa kutengeneza software ambayo nlitumia html,css,javascript na php na inahusiana na masomo ambayo imebase zaidi kwa shule...
Jaman mwenye msaada..nina htc yangu kwakwel sasa hivi wiki, inaniandika airplane mode turning off, na imefanya network imekata kabisa..nmejaribu kuzima kuwasha stil the same...mwenye msaada jaman...
Salamu wana JF.
Mwenye kufahamu namna ya kuondoa hii browser ya kiarabu ambayo inasumbua sana tafadhal. Maana kila nikifungua browser inakuja by defaulty