Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Jamani wanajf naamini kuwa humu ndani kuna wataalam. Naomba mnisaidie hili..jinsi ya kutengeneza Animation kwa kutumia Adobe Photoshop cs6. Plz nisaidien wakuu.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wanajamvi hebu nisaidieni katika hili, hivi ni huku Chalinze tu ndio signal ya star times imekata tangu asubuhi au ni kote?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji msaada nilinunua mzigo ebay kwa njia ya paypal sasa hawakuutuma wakarefund pesa. Nikiindia paypal ziko completed refunded but kwenye master card crdb yangu hakuna. Nifanyeje?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani laptop yangu aina ya ASUS inasumbua saana kuwaka na ikikubali kuwaka inaweza freeze nisiweze fanya lolote nimejaribu kupiga windows chini na ku-install upya lakin bado tatizo lipo palepale...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana JF naomba kujuzwa.Niko Singida na nina Dish la futi 6 nifanyeje ili niweze kupata channel za TV za FTA za movie, Sports, wwe, news na zile za kibongo
1 Reactions
3 Replies
4K Views
wataalam tusaidiane ktk hilo, wako mtiifu mr yahoo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wadau! Nahitaji kununua Samsung smartphone mpya na original! Budget yangu katika hili ni 400k tu. Naomba wajuvi wa Samsung na bei zake kwa sasa mniambie kwa hiyo budget ni samsung gani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nimekua nikijiunga na kifurushi cha unlimited cha buku cha voda kila siku, nikawa na download na kufanya mambo yangu vizuri tu, but nikama ww sasa, nafungua website tofauti inazingua, inafunguka...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Simu yangu ya Galaxy Note3 imepata tatizo la kujizima ninapoiacha idle kwa muda. Huwa nashindwa kuwasha hadi nitoe betri na kuirudisha. Nimejaribu kununua betri mpya kwa kujua tatizo ni betri...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
catherine@tpa.ac.tz nisaidieni hivi vitu 1. user id 2.Domain name 3.Domain (location) 4.root domain (type of location) 5.country
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu! Nipo Dar kwa muda wa siku 5 nahitaji mtaalam wa ku-root simu yangu tajwa hapo juu. Napatikana maeneo ya Pugu na Kariakoo. Kandamiza PM na gharama za huduma. Asante!
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wakuu, Jana nimenunua simu tajwa hapo juu, wakaniambia nisiitumie mpaka nitakapoichaji maana ni mpya. Baada ya kuichaji nikaingiza simcard zote mbili, lakini cha ajabu mpaka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenye majuzi na uzoefu anijuze aina ya gari used ndogo yenye sifa hizi: -Inayonusa mafuta(inayotumia mafuta kidogo) -Bei <7mil. -Unafuu wa Spare parts. -Uchache wa kilometer zilizokwisha tumika
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nikiweka flash code(passwod) zinakataa then inaniambia update failed ni huawei vodacom hilink e303
0 Reactions
1 Replies
921 Views
Vipi wakuu nisaidieni mi mgeni wa products za Behringer, nimezoea Pioneer. Nahitaji msaada software gani nzuri kutumia kwenye product hii maana nimejaribu Virtual DJ naona inazingua iko slow in...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari za jumapili... Naomba msaada tafadhali, kuna jamaa alinitengenezea program fulani sasa kasafiri na yupo mbali sana, sasa computer niliyokuwa natumia imeibiwa. Program yenyewe sina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Najaribu kutengeneza program flani yenye feature ya kupokea sms. sasa baada ya kukamilisha hatua zote ninapojaribu ku-run inaniletea error hii "STRING OUT OF RANGE: -12"...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Direct to the point, kuna tatizo la SMS kujirudia kweny3 hii simu. yaan text unaweza ukaisomà ukaifuta af ikaingia tena kama inbox hata mara 5. msaada Tafadhali!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukiifungua, upande wa kushoto "Useful Links" uki click utaona: Useful Links I LIKE SEX IT'S VERY NICE Hafu uki click hiyo I Like Sex inaku direct Google Home...
0 Reactions
1 Replies
712 Views
hbr zenu wana teknolojia naomba mnisaidie namna ya kurejesha shortcuts kuna jamaa nilimuazima cm akazitia kwenye dustbin zote aina ya simu ni tecno m3 natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…