Nitawezaje kutengeneza animation kutumia Adobe photoshop cs6

Nitawezaje kutengeneza animation kutumia Adobe photoshop cs6

SirLuke

Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
75
Reaction score
8
Jamani wanajf naamini kuwa humu ndani kuna wataalam. Naomba mnisaidie hili..jinsi ya kutengeneza Animation kwa kutumia Adobe Photoshop cs6. Plz nisaidien wakuu.
 
Jamani wanajf naamini kuwa humu ndani kuna wataalam. Naomba mnisaidie hili..jinsi ya kutengeneza Animation kwa kutumia Adobe Photoshop cs6. Plz nisaidien wakuu.


Heading yako imekaa vibaya..
Hii thread watatembelea wengi wanaotaka kujua, sio wanaojua...

snipa
 
Last edited by a moderator:
kama ni animated gif ambazo urefu wake ni sekunde chache unaweza tengeneza kwa photoshop ukaunga na photoscape. download photoscape ni bure halafu edit kwa photoshop then unga. kama hujui hata frame ni nini basi hili swali ulilouliza achana nalo anza mwanzo upya kujifunza animation.
 
Heading yako imekaa vibaya..
Hii thread watatembelea wengi wanaotaka kujua, sio wanaojua..
mi nljua jamaa anataka kutoa somo,,,kumbe anahtaji kufundshw,...
 
JIBU SAHIHI KUTOKA KWA MTAALAMAU MIMI: Utahitaji Adobe Photoshop CS6 Extended, sio Photoshop CS6. Kawaida inakuwa separate, ndo yenye uwezo wa kuedit hata Video, Timeline yake ni kama track kwenye Adobe Premiere CS6.

Unatakiwa ui install kwanza ndo uweke version ya CS6/ama software zingine za Adobe otherwise itazicorrupt zote ikiwa ya mwisho kuwekwa.

Ni rahisi sana kuedit au kutengeneza animation kwa Photoshop. Angalia yangu hapa: https://www.youtube.com/watch?v=mh02C-GzM2U

Ni kama vile unavyo composite image in a layer-based system.Pia kwa animation ni kuhakikisha images ziwe ni PNG (transparent) ili uje uweke background uitakayo. Zipangilie kwa layer kisha nenda: Window >> Timeline >>, layer zote zitakuwa pale, background iwe ya mwisho chini, zingine zipishane ili kuleta mwendelezo. Baada ya hapo ni kuclick stop watch na kuanza kucheza nazo...orientation, styles, size, speed etc.
 
ahsante kaka nashukuru nimekusoma vyema.
 
Back
Top Bottom