Naomba msaada wa kurudisha shortcut kwenye Tecno M3

Naomba msaada wa kurudisha shortcut kwenye Tecno M3

chibi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
240
Reaction score
65
hbr zenu wana teknolojia naomba mnisaidie namna ya kurejesha shortcuts kuna jamaa nilimuazima cm akazitia kwenye dustbin zote aina ya simu ni tecno m3
natanguliza shukrani
 
shortcut zile za home ama nimelewa vibaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom