L Lazmas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 561 Reaction score 111 Nov 15, 2014 #1 Wanajamvi hebu nisaidieni katika hili, hivi ni huku Chalinze tu ndio signal ya star times imekata tangu asubuhi au ni kote?
Wanajamvi hebu nisaidieni katika hili, hivi ni huku Chalinze tu ndio signal ya star times imekata tangu asubuhi au ni kote?
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,380 Reaction score 99,178 Nov 15, 2014 #2 Ni Kote hadi kwangu mie napata ch10 na TBC tu.
L Lazmas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 561 Reaction score 111 Nov 15, 2014 Thread starter #3 Heri yako unapata hata hizo mbili. Huku ni totally nothing.
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Nov 15, 2014 #4 mhhh hivi kumbe kuna watumiaji wa startimes!!!
jwhizzy JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 681 Reaction score 397 Jan 6, 2015 #5 Wakuu mimi nimenunua jana startimes jana sasa nimescan channel Ila baada ya kumaliza ina andika smartcard is error
Wakuu mimi nimenunua jana startimes jana sasa nimescan channel Ila baada ya kumaliza ina andika smartcard is error