Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
Nahitaji msaada nilinunua mzigo ebay kwa njia ya paypal sasa hawakuutuma wakarefund pesa. Nikiindia paypal ziko completed refunded but kwenye master card crdb yangu hakuna. Nifanyeje?
Nahitaji msaada nilinunua mzigo ebay kwa njia ya paypal sasa hawakuutuma wakarefund pesa. Nikiindia paypal ziko completed refunded but kwenye master card crdb yangu hakuna. Nifanyeje?
Wasiliana na CRDB huduma kwa wateja. Pole sana.
Asante.
usipofuatilia hauipati.Itaonekana tu ilaa after 2 to 3 days dont panic...
Huwa haionekani kwenye account yako automatically . Mpaka uende kwenye branch yako ya C.R.D.B utaelekezwa na mtu anayejihusisha na e-banking pale utajaza form fulani ukieleza tarehe ya transaction na kiwango kilichokuwa refunded na utaambatanisha hiyo statement ya paypal inayoonyesha tarehe ya malipo na tarehe ya refund .
Hiyo huchukua kamuda kidogo na inabidi uwe unawasumbua mara kwa mara kinyume na hapo....... hizo ndi bank zetu za bongo
Sina uzoefu nao kwa sababu mimi ni mteja wa C.R.D.B na nimeweza kufuatilia refund zangu kama mara nne hivi kwa kufuata taratibu hizo.Hivi na baclays nao wana huu ujinga???
usipofuatilia hauipati.